jonasasimwe New Member Joined Nov 20, 2024 Posts 1 Reaction score 2 Mar 13, 2025 #1 Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo