Natafuta kazi.

Natafuta kazi.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Heshima mbele wakuu,naomba kama kuna mtu yoyote hapa ndni anaeweza kuniajiri ama kunisaidia sehem yoyote napoweza ajiriwa.kutkna na ugum wa maisha niko tayari kufanya kazi yoyote ili mradi mshahara uwe unaridhsha..elimu yangu bdo npo chuo nafnya LLB,matokeo yangu ya o-level ni dv 1:17 A level ni dv 2:12,naongea na kuandka kiingereza kwa ufasaha kbsa.kma ntakua nakufaha tafadhli namba yangu ni,0758144803,naomb nitafte.
 
Mshahara huwa hauridhishi ndugu yangu.
Kila la kheri, naona Senetor ananuia kukuajiri.
 
Heshima mbele wakuu,naomba kama kuna mtu yoyote hapa ndni anaeweza kuniajiri ama kunisaidia sehem yoyote napoweza ajiriwa.kutkna na ugum wa maisha niko tayari kufanya kazi yoyote ili mradi mshahara uwe unaridhsha..elimu yangu bdo npo chuo nafnya LLB,matokeo yangu ya o-level ni dv 1:17 A level ni dv 2:12,naongea na kuandka kiingereza kwa ufasaha kbsa.kma ntakua nakufaha tafadhli namba yangu ni,0758144803,naomb nitafte.
Sasa wewe ndugu utawezaje kufanyakazi wakati bado uKo chuo?Kama maisha magumu ni bora ukaanzisha biashara ambayo utaweza kuimudu bila kuathili masomo yako ukawauzia wanafunzi wenzio huko chuo. nenda kanunue counter books, voucher za simu, note books, n.k. Au angalia kitu chochote ambacho wanafunzi wenzio huwa wanakihitaji kwa haraka lakini huwa wanahitajika kukifuata mbali (hata unga kwa wale wanaojipikilisha). kisha watangazie wenzio unaoishi nao (hostel au bwenini) kuwa umewasogezea huduma karibu ili waje kununua kwako. Hakikisha bei utakayouzia ni ndogo kuliko ya duka la jirani. Utakachokipata ridhika nacho. Hiyo itakuwa rahisi kwako kuliko kupata kazi ya kuajiliwa. Maisha ni kupambana ndugu, sio lele mama. Nimeshuhudia baadhi ya watu niliokuwa nikisoma nao enzi hizo wakishikishwa ukuta kwa kuendekeza kutaka kupata hela kirahisi ili kujikimu.
Huo ni mchango wangu kwako
 
Samahan nilitingwa na shughul za kutwa mi niko tumaini univer.
 
mawazo yako ni mazuri ila cjayapenda,mosi muda na nguv nitakavyo 2mua kufnya hcho unachonishauri nina uhakika,ctatimiza malengo yngu.
 
maliza shule dogo kuna kaka zako wamekaa ktk siti ngoja washuke nawe utakaa.sawa?
 
Back
Top Bottom