natafuta kazi

natafuta kazi

miluzi2

Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
7
Reaction score
0
mimi nimsichana wa miaka 27, nilisoma advance diploma in computer science, nilimaliza 2009 lakini tokea nimemaliza hadi sasa sijapata kazi nimepeleka maombi sehemu mbalimbali bila mafanikio wana JF naombeni msaada wenu nimeshaaza kukata tamaa maana maisha ni magumu sana na mimi ndo tegemezi kwa mama yangu ambaye ni mjane na hajiwezi. kwa mwenye kutaka kunipa msaada wowote hata kama kunishauri namba yangu ni 0653913747 email yangu ni salimmariam4@gmail.com au salimmariam@ymail.com, nipo tayari kwa kazi yoyote ambayo ni halali msaada wenu ndugu zangu.....asanteni.
 
chamsingi usikate tamaa kila utakapo ckia kunakazi tuma maombi na mungu ukiwa umemtanguliza mbela, pia usichoke kuomba naimani mungu yupamoja na wewe na wakati utakapofika utaiona kazi yake.
 
chamsingi usikate tamaa kila utakapo ckia kunakazi tuma maombi na mungu ukiwa umemtanguliza mbela, pia usichoke kuomba naimani mungu yupamoja na wewe na wakati utakapofika utaiona kazi yake.

asante ndugu yangu kwa ushauri wako
 
Pole sana, ajira ni mtihani kwa nchi yetu, lakini hupaswi kukata tamaa.......Mungu ni mwema,
kwa vile umetoa namba i hope utaweza kupata ufumbuzi kwa hatua za mwanzo, ila mtumaini Mungu.
 
Pole sana dada! Usikate tamaa endelea kutuma maombi yako kila nafasi ya kazi uliyoisomea inapotoka. Pia weka na maombi mbele na utakapopata kazi hakikisha nusu ya mshahara wako wa kwanza unasaidia wasiojiweza na kwenye nyumba za ibada. Pia fanya ibada sana kuomba upate kazi.
 
Back
Top Bottom