Natafuta kazi

SIR.NOM

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
78
Reaction score
24
Elimu yangu ni ya kid.cha 6,"PCB".Nina ujuzi wa computer kidogo kutumia program kama Ms-word,Ms-Excel na Internet and E-mai.Kazi yoyote ambayo naweza nikamechi nayo kulingana na elimu yangu na ujuzi nilio nao pia.Nipo DAR.
 
Ushauri wangu kama kuna uwezekano wa kuendelea na kisomo fanya hivyo itakusaidia baadae kwa sasa kazi unaweza pata ila kipato kitakuwa kidogo sana si unajua soko la ajira linasumbua sana vijana wengi na degree zao wako mitaani kazi ni haba ila utapata ila usibague kazi
 
Ushauri mzuri sana huu!
 
Kutafuta kazi nayo kazi! umesoma PCB-people confuse Brain still unatafuta kazi je wale wenzangu waliosoma HGE-house girl education wafanye nini??
 
Kutafuta kazi nayo kazi! umesoma PCB-people confuse Brain still unatafuta kazi je wale wenzangu waliosoma HGE-house girl education wafanye nini??

Si busara kutoa jibu kama hili ukizingatia mtoa mada amejieleza vizuri na yuko serious.

Mtoa mada usikatishwe tamaa na watu kama hawa, kazi utapata na naunga mkono ushauri wa mchangiaji wa kwanza. Kila la kheri ndugu yangu, Mungu akutangulie.
 
Kutafuta kazi nayo kazi! umesoma PCB-people confuse Brain still unatafuta kazi je wale wenzangu waliosoma HGE-house girl education wafanye nini??

kwa maelezo ya mtoa maada inaonekana anatafuta kazi yakujishikiza pengine akiwa anasubiria kuendelea na masomo, vitu kama hivi tumevizoea kwa wanaomaliza form 6! lakini majibu yako ndugu mgomba101 bado hayaonyeshi kama we ni jf expert member, majibu yako yanatia mashaka juuya uwezo wako katika kug'amua mambo! kila la heri mtoa maada utafanikiwa, ila kumbuka ni muhimu sana kuendelea na masomo kwakua form 6 bado sio kitu kwenye ulimwengu wa ajira zenye mafanikio tunayo yatafuta.
 
hapo kwenye blue! wasomi wako wengi sana mtaani! form 6 without proffesional course is nothing! wewe upo ulimwengu gani? elimu haijakukomboa hata kidogo! kama kafaulu vizuri dogo aendelee na elimu ya juu.
 
ok, ila unafahamu kua unapo maliza form six unaweza kua na muda wakusubiri kabla ya kuendelea na elimu nyingine? au unataka akasome tution ya universty? naimani kijana anataka kujikeep busy akiwa anasubiri muda wa shule tena!
 
Dogo angekuwa muwazi anataka kazi gani ili tumshauri kwa elimu yake ya form 6, yuko so general
 
Bwana mdogo tafuta tuition centres ukafundishe au tembelea mashirika ya mikopo kama Byport wanatoaga nafasi kwa watu kama nyinyi. Any way Mungu akusaidie coz una nia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…