Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wangu kama kuna uwezekano wa kuendelea na kisomo fanya hivyo itakusaidia baadae kwa sasa kazi unaweza pata ila kipato kitakuwa kidogo sana si unajua soko la ajira linasumbua sana vijana wengi na degree zao wako mitaani kazi ni haba ila utapata ila usibague kazi
Kutafuta kazi nayo kazi! umesoma PCB-people confuse Brain still unatafuta kazi je wale wenzangu waliosoma HGE-house girl education wafanye nini??
Kutafuta kazi nayo kazi! umesoma PCB-people confuse Brain still unatafuta kazi je wale wenzangu waliosoma HGE-house girl education wafanye nini??
kwa maelezo ya mtoa maada inaonekana anatafuta kazi yakujishikiza pengine akiwa anasubiria kuendelea na masomo, vitu kama hivi tumevizoea kwa wanaomaliza form 6! lakini majibu yako ndugu mgomba101 bado hayaonyeshi kama we ni jf expert member, majibu yako yanatia mashaka juuya uwezo wako katika kug'amua mambo! kila la heri mtoa maada utafanikiwa, ila kumbuka ni muhimu sana kuendelea na masomo kwakua form 6 bado sio kitu kwenye ulimwengu wa ajira zenye mafanikio tunayo yatafuta.
hapo kwenye blue! wasomi wako wengi sana mtaani! form 6 without proffesional course is nothing! wewe upo ulimwengu gani? elimu haijakukomboa hata kidogo! kama kafaulu vizuri dogo aendelee na elimu ya juu.
ok, ila unafahamu kua unapo maliza form six unaweza kua na muda wakusubiri kabla ya kuendelea na elimu nyingine? au unataka akasome tution ya universty? naimani kijana anataka kujikeep busy akiwa anasubiri muda wa shule tena!