Natafuta kazi

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
nipo dar nasoma chuo kikuu kimoja hivi hapa mjini,natafuta kazi yoyote hapa mjini iliyo halali kwa part time,tafadhal msaada katika hili ili niongeze kipato.kama upo serious ni pm au reply hapa.Asanteni sana.
 
[COLOR=#ff0000 said:
k[/COLOR]dany;5041635]nipo dar nasoma chuo kikuu kimoja hivi hapa mjini,natafuta kazi yoyote hapa mjini iliyo halali kwa part time,tafadhal msaada katika hili ili niongeze kipato.kama upo serious ni pm au reply hapa.Asanteni sana.

Hiyo herufi ya mwanzo kabisa ya jina lako inamaana yeyote! jinsia yako???
 
Tatizo watu wanahitaji msaada wapo online ila hawajibu maswali wanayoulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…