Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[COLOR=#ff0000 said:k[/COLOR]dany;5041635]nipo dar nasoma chuo kikuu kimoja hivi hapa mjini,natafuta kazi yoyote hapa mjini iliyo halali kwa part time,tafadhal msaada katika hili ili niongeze kipato.kama upo serious ni pm au reply hapa.Asanteni sana.
Hiyo herufi ya mwanzo kabisa ya jina lako inamaana yeyote! jinsia yako???
Dah!Yaani Hicho Ndicho Ulichoona Cha Msingi?
Jinsia gani ww??
Fani gani?
Tatizo watu wanahitaji msaada wapo online ila hawajibu maswali wanayoulizwa
Huna bumu au?