Nenda wizara ya mifugo ndio wana dili na kutoa vibali, sasa humu ni kama unataka kubali kutoka kwa mtu binafisi, angalia paka wako anaweza chomwa moto uwanja wa ndege ukishuhudia kwa macho.Habari MwanaJF,
Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka.
Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali
cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei.
Sasa ninamtafuta mtu angeweza kunipatia kibali hiyo huko nchini kwa paka wangu anitumie kwa njia ya whatsapp.
Ninamlipa ada yake
kama atanipatia kibali cha haki kwa ajili ya paka wangu.
Kama unaweza nitumie whatsapp yako
Habari MwanaJF,

Habari mkuu.Habari MwanaJF,
Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka.
Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei.
Sasa ninamtafuta mtu angeweza kunipatia kibali hiyo huko nchini kwa paka wangu anitumie kwa njia ya whatsapp.
Ninamlipa ada yake kama atanipatia kibali cha haki kwa ajili ya paka wangu.
Kama unaweza nitumie whatsapp yako
Hatuna muda wa kupokea simu za watuπππNinataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei.