Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]Ucje pm ndugu yangu, maana jamaa hawana utani... Wanasaundisha balaaa, kuna mmoja kanichekesha
Eti madam hata ukijisaidia usifrash ntakuja nifrash mwenyewe, ili mradi ukitoka unaniachia mazagazaga
Yaan nimecheka, duuh kweli vijana wanajua kuchangamkia Tulsa.
HahahahKwenye job description ondoa kupika,kufua na kukuogesha isomeke kukukaza tu
Alafu c namhudumia kila kitu kwanzia mavazi mpaka pocket money, yy achape kazi tukwa use.nge huu utampata nani sasa
hayo uliyotamka ndio unapaswa wew umfanyie kasoro kwenye kuendeshwa tu hapo
Vyuma vimekaza kiongozi,Mtaan kugum utawapatAA
Hahaha!!Bora avatar yangu imerudi [emoji4][emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora avatar yangu imerudi [emoji4][emoji4]
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mi nataman kujua una miaka mingapi Madam...Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.
Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.
Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.
Just a joke's jaman huhuhuu
Cjwahi ndugu, Ila namuona sister fey anavyokula raha. Hawasumbui wala hawana tabu kila kitu kwake yeeees bbykwamba ushawahi kukamiliki
Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.
Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.
Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.
Just a joke's jaman huhuhuu
Mzee baba hii cover letter imesimama [emoji2]Huwa nachukia sana kila fursa zinapotoka nachelewa kuziona aaaah... sasa mimi hata chooni nakupeleka kwa kukubeka na nakusubiria ukimaliza nakusafisha halafu nitakua sina wivu hata nikikufumania kitandani kwetu na njemba nitaliomba msamaha wa kulikata stimu na sikuombi mchezo hata kama ni mwaka mzima nitasubiri uamue wewe. nikubalie fasta kabla wazushi hawaja jaza inzi [emoji23][emoji23]
Naaam madame naisubiri fursa hiyo kwa hamu sana. NitafuteAlafu c namhudumia kila kitu kwanzia mavazi mpaka pocket money, yy achape kazi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yes mke wangu [emoji23][emoji23]yule mtoto anaonja mpaka dawa gaiii [emoji23][emoji23][emoji23]Cjwahi ndugu, Ila namuona sister fey anavyokula raha. Hawasumbui wala hawana tabu kila kitu kwake yeeees bby
Wacha watufanyie tu sisi tutaelekea,ila wajue ni sambi saoMajimama wana adiction sana
Shunie mambo, nitafute pls nina hoja na ww.Wanakuja mkuu usiwakimbie tu huko pm