Natafuta kiben ten

Natafuta kiben ten

Ucje pm ndugu yangu, maana jamaa hawana utani... Wanasaundisha balaaa, kuna mmoja kanichekesha
Eti madam hata ukijisaidia usifrash ntakuja nifrash mwenyewe, ili mradi ukitoka unaniachia mazagazaga

Yaan nimecheka, duuh kweli vijana wanajua kuchangamkia Tulsa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]
 
Duh hii inaonyesha ni jinc gani vijana wanakata tamaa mapema na maisha binafc siwezi kua na mwanamke nisie mpenda kisa anapesa hua cjui kufanganya hasa kwenye mapenzi bora nikabebe zege ili kua huru tukitibuana kila mmoja ki vyake
 
Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.

Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.

Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.

Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.

Just a joke's jaman huhuhuu
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mi nataman kujua una miaka mingapi Madam...
 
Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.

Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.

Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.

Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.

Just a joke's jaman huhuhuu

Naona Madam Vivian unatafuta Msaidizi wa ndani wa kiume na siyo kiben kumi kazi zote hzo afanye kiben kumi kweli..
 
Huwa nachukia sana kila fursa zinapotoka nachelewa kuziona aaaah... sasa mimi hata chooni nakupeleka kwa kukubeka na nakusubiria ukimaliza nakusafisha halafu nitakua sina wivu hata nikikufumania kitandani kwetu na njemba nitaliomba msamaha wa kulikata stimu na sikuombi mchezo hata kama ni mwaka mzima nitasubiri uamue wewe. nikubalie fasta kabla wazushi hawaja jaza inzi [emoji23][emoji23]
Mzee baba hii cover letter imesimama [emoji2]
 
Cjwahi ndugu, Ila namuona sister fey anavyokula raha. Hawasumbui wala hawana tabu kila kitu kwake yeeees bby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yes mke wangu [emoji23][emoji23]yule mtoto anaonja mpaka dawa gaiii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna ujumbe mwingine huwa unawasilishwa kwa njia ya utani utani kama hivi.
 
Back
Top Bottom