Kichwa cha post chajieleza. Natafuta kijana wa aina hii tufanye biashara.
Mwanzoni nahitaji wawili tu, kinachotakiwa ni moyo wa upambanaji. Wazo hili nimekuwa nalo muda mrefu ila sina watendaji.
Note: Nimeweka wazi kabisa kuwa hiini kazi ya kimachinga!