Natafuta kijana wa kulima

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Habari

Natafuta man power ( kijana) wa kulima bustani za mboga mboga.

Eneo la kazi ni Kimara mwisho , dar es salaam

0616274277
 
Mkuu ni sawa umeweka no yako lakini ni vyema ungeweka location yako ulipo pamoja na offer
uliyonayo kama chachu kwa mwenye nia kweli. Ahsante
 
Mkuu ni sawa umeweka no yako lakini ni vyema ungeweka location yako ulipo pamoja na offer
uliyonayo kama chachu kwa mwenye nia kweli. Ahsante
Mkuu nimeweka namba ya cm hapo

Kuhusu malipo, mpka aje aone kazi then tunakubaliana na ukubwa wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…