Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

Vizuri sana aisee,endelea kuwa na huo moyo wa kusaidia vijana wa sio na kazi...safi sana
 
Hapo umepata mfanyakazi ila uwe makini na huyu ngosha kwenye ufugaji ni Mtaalamu tatizo kuna kauchawi karisi anaweza kukupoteza..
 
Kuwa makini na London baby boy maana kulingana na nyuzi zake humu anaonekana ni mlozi yeye na familia anayotoka. Asije akamchawia ng'ombe aanze kutoa kamasi badala ya maziwa.
 
Uwe makini tu Ndugu yangu na huyu kijana, anaweza baka ng'ombe zako ukapata wajukuu wengine
 
waungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao.
ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost mambo yasiyo eleweka nimeamua kumtafutia kibarua
hivyo basi Beira Baby Boy weka mawasiliano yako hapa au unaweza kunichek PM nikupe kazi hii ya kukata nyasi, kumlisha pumba ng'ombe wangu wa maziwa na kazi nyingine kama usafi wa zizi n.k ili upate kitu cha kukuweka busy.

povu ruksa.
wahi kabla sijabadilisha uamuzi.

UTALIPWA VIZURI.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom