Ulivosema ng'ombe wa maziwa, akili yangu ikawaza kitu kingine,..this is chitchat peleka usiriazi huko kwenye mambo ya mugabe, mgao wa umeme, makinikia, fly over n.k
hahahaha huyu bwanamdogo hilo prado alihongwa na Jimama nini?
Huo muda wa kuchunga anautoa wapi? Make kila nikiingia namkuta onlineHahahaha... Joseverest pia ni mchungaji mzuri wa ng'ombe
π π π π π π π πwaungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao.
ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost mambo yasiyo eleweka nimeamua kumtafutia kibarua
hivyo basi Beira Baby Boy weka mawasiliano yako hapa au unaweza kunichek PM nikupe kazi hii ya kukata nyasi, kumlisha pumba ng'ombe wangu wa maziwa na kazi nyingine kama usafi wa zizi n.k ili upate kitu cha kukuweka busy.
povu ruksa.
wahi kabla sijabadilisha uamuzi.
UTALIPWA VIZURI.
[emoji1] awe shamba boynisaidie kumwita huyu kijana