banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Feb 3, 2024 #1 Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali.
Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali.
OfficialDavid Member Joined Aug 9, 2023 Posts 20 Reaction score 13 Feb 4, 2024 #2 banalunda said: Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali. Click to expand... Samahani naomba kujua Location maana Mimi Niko Kitunda Shule huku
banalunda said: Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali. Click to expand... Samahani naomba kujua Location maana Mimi Niko Kitunda Shule huku
C chozi 14 Member Joined Apr 4, 2015 Posts 44 Reaction score 70 Feb 5, 2024 #4 Amepatikana? Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app