Natafuta kijana wa kuuza juisi za matunda

Natafuta kijana wa kuuza juisi za matunda

warzone

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
47
Reaction score
105
Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali.

Umri: Chini ya miaka 24

Location Dar es Salaam (Kigamboni)

Mshahara: Makubaliano kima cha chini ni 150,000/= kwa mwezi (kwa kama akiweza kuuza angalau dumu 3 kwa siku za lita 3

Kazi yake ni kuchukua juisi na kuuza na kutafuta wateja tuu.

Nauli juu yangu

Karibu PM
 
Back
Top Bottom