Natafuta kijiwe Dar es Salaam mtaalamu wa maabara

Natafuta kijiwe Dar es Salaam mtaalamu wa maabara

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
682
Reaction score
1,293
Mbele yenu ni kijana wa kitanzania ambae kwa sasa napatikana mkoani Iringa ila nina plan ya kuingia jiji la dsm siku chache zijazo.

Nina uzoefu wa kutosha katika maabara baada ya kujitolea kwa muda wa mwaka mmoja hospitali mbalimbali.

Natafuta kijiwe mkoa wa Dar es Salaam hata ikiwa part time job ninayo leseni hai na uzoefu wa kutosha kama mteknolojia wa maabara za binadamu.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom