natafuta kiki

natafuta kiki

Ha ha hakuna mkate mgumu mbele ya chai naweza sana...
sio kila mkate mgumu ukiweka chai unanywea jmn.....afu uko itakua kama ni kuforc lik...mana sio kila mkate mgum uliwe...mingine hutupwa [emoji126]
 
[emoji126] nataka nitoke kweny gazeti niuze sura...waseme nimelala na fulan..[emoji126] [emoji126] [emoji126]

jokes[emoji12]
1469850536340.jpg
 
sio kila mkate mgumu ukiweka chai unanywea jmn.....afu uko itakua kama ni kuforc lik...mana sio kila mkate mgum uliwe...mingine hutupwa [emoji126]
kutupa sio solution maana huko utakapotupa kuna watakaokota!
 
Back
Top Bottom