natafuta kiki

Ha ha hakuna mkate mgumu mbele ya chai naweza sana...
sio kila mkate mgumu ukiweka chai unanywea jmn.....afu uko itakua kama ni kuforc lik...mana sio kila mkate mgum uliwe...mingine hutupwa [emoji126]
 
sio kila mkate mgumu ukiweka chai unanywea jmn.....afu uko itakua kama ni kuforc lik...mana sio kila mkate mgum uliwe...mingine hutupwa [emoji126]
kutupa sio solution maana huko utakapotupa kuna watakaokota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…