Mkuu naomba kufahamu juu ya TASPA tafadhaliIna tegemea kikundi cha nini? Mfano kuna chama cha TASPA (Tanzania spices association)
TAFOPA ( Tanzania food processors association)
TWCC (Tanzania women chamber of commerce)
Hapo kila chama na Mlengo wake chamsingi ujue unataka nini
Tanzania spices associationMkuu naomba kufahamu juu ya TASPA tafadhali
Interested nakufuata pmIna tegemea kikundi cha nini? Mfano kuna chama cha TASPA (Tanzania spices association)
TAFOPA ( Tanzania food processors association)
TWCC (Tanzania women chamber of commerce)
Hapo kila chama na Mlengo wake chamsingi ujue unataka nini