Natafuta kikundi cha ujasiliamali kilichoko mkoa yoye Tanzania

Sijakuelewa unamaanisha nini kusema "mikoa yote"
 
Ina tegemea kikundi cha nini? Mfano kuna chama cha TASPA (Tanzania spices association)
TAFOPA ( Tanzania food processors association)

TWCC (Tanzania women chamber of commerce)

Hapo kila chama na Mlengo wake chamsingi ujue unataka nini
 
Nishakuelewa ukinifuata inbox hutojuta kuandika huu uzi
 
Ina tegemea kikundi cha nini? Mfano kuna chama cha TASPA (Tanzania spices association)
TAFOPA ( Tanzania food processors association)

TWCC (Tanzania women chamber of commerce)

Hapo kila chama na Mlengo wake chamsingi ujue unataka nini
Mkuu naomba kufahamu juu ya TASPA tafadhali
 
Tanzania spices association

Hiki ni chama cha Wana viungo (wakulima wa viungo,madalali halali wa viungo,wasindikaji,exporters nk) hapa ni kupeana elimu ya viungo,namna yakusaka masoko,jinsi yakusafirisha, huduma za kisheria nk
 
Ina tegemea kikundi cha nini? Mfano kuna chama cha TASPA (Tanzania spices association)
TAFOPA ( Tanzania food processors association)

TWCC (Tanzania women chamber of commerce)

Hapo kila chama na Mlengo wake chamsingi ujue unataka nini
Interested nakufuata pm
 
Back
Top Bottom