Wakuu habarini
Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5 , gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari nime atach hapo chini my contact 0765652806 natanguliza sana shukrani View attachment 2045000
.Mpk sasa nimeshabadili boll joint na tie road bas engine sijagusa kabisa zaidi ya kumwaga oil , ningari nzuri sana naenjoy upande wa fuel inanipa 18 kwa lita 1 si unajua ina i mode kwa mjini hata km kuna foleni hakuna kuumiza kichwaMkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
Hamnaga bei yakizalendo kwenye gari ambazo hazifikia hata 10 kwa daslam nzimaWakuu habarini
Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5 , gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari nime atach hapo chini my contact 0765652806 natanguliza sana shukrani View attachment 2045000
.Mpk sasa nimeshabadili boll joint na tie road bas engine sijagusa kabisa zaidi ya kumwaga oil , ningari nzuri sana naenjoy upande wa fuel inanipa 18 kwa lita 1 si unajua ina i mode kwa mjini hata km kuna foleni hakuna kuumiza kichwa .....inachanganya faster wenye harrie nawakata kama wamesimama nimetoka nayo Arusha juzi ,niliweka mafuta 180,000 nimefika bado yamo robo tank ndio nakula misele ,mchawi kwa sasa kioo nimepata ila muhindi kanipandia sana anataka 320,000/- leo nimemuacha kesho alikomaa nitaenda kuweka mombasa nikiwa na safari ya huko maana kule ni 130,000 jumla na ufundi ,kama unafikiria kununua ,nunua kaka uishi katika ndoto yako
Yaani kuna muhindi anavyo nimeviona kabisa ila kaona gari kaamua kunibadilikia anataka 320 k...daaa ila inanipa wadhifa hii gari wanabaki wananishangaa tu ....wanajua ninamkwanja wa kutosha kumbe naunga unga tuHamnaga bei yakizalendo kwenye gari ambazo hazifikia hata 10 kwa daslam nzima
NakaziaHamnaga bei yakizalendo kwenye gari ambazo hazifikia hata 10 kwa daslam nzima
Hahahahahah bei ya chamaNakazia
Bei Ya Kizalendo
Kuna Jamaa Alikuwa Anataka Sweet Red Wine
Wakati Huo Sijaenda Kyerwa
Akaniambia Nataka Bei Ya Wine Lakini Angalia Bei Iwe Ya Chama Na Serikali Nikacheka Sana Nikamwambia Toa Pesa
Ha ha ha ha kagari kamenyooka hata bei zake sio mchezo beforward kule😅 kweli ulikaza kende!Yaani kuna muhindi anavyo nimeviona kabisa ila kaona gari kaamua kunibadilikia anataka 320 k...daaa ila inanipa wadhifa hii gari wanabaki wananishangaa tu ....wanajua ninamkwanja wa kutosha kumbe naunga unga tu
Nilikaagiza kutoka japani kalikuwa na 40,000 km mpk sasa kanamuonekano wa kibabe sanaHa ha ha ha kagari kamenyooka hata bei zake sio mchezo beforward kule[emoji28] kweli ulikaza kende!
Kama hukununua kwa balozi aliemaliza muda wake basi nikupe heko maana gari hizo kitonga ni za diplomats tu[emoji28]
Aisee we ni kidume cha mbegu! Kale lazma kamemeza cost ya nyumba moja😅Nilikaagiza kutoka japani kalikuwa na 40,000 km mpk sasa kanamuonekano wa kibabe sana
Spare ni ishu labda kama kaliua ndani ndani huko igagala lakini Dar zipo, ni wewe tu, chukua chuma hiyoMkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
Ila haka kagari ni kazuri. Na ni binamu yake na Nissan Dualis kabisa yaani maana wanafanana balaa. View attachment 2045913View attachment 2045912View attachment 2045914View attachment 2045917View attachment 2045918
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Mazda esp engine ya petrol ni nzuri na reliable zaidi. Na hii ni ina chasis ndefu kidogo bila shaka
Spare ni ishu labda kama kaliua ndani ndani huko igagala lakini Dar zipo, ni wewe tu, chukua chuma hiyo