Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
Wakuu habarini,

Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5, gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari nime atach hapo chini my contact 0765652806 natanguliza sana shukrani.

IMG-20210817-WA0055.jpg
 
Wakuu habarini
Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5 , gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari nime atach hapo chini my contact 0765652806 natanguliza sana shukrani View attachment 2045000

Mkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
 
Mkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
.Mpk sasa nimeshabadili boll joint na tie road bas engine sijagusa kabisa zaidi ya kumwaga oil , ningari nzuri sana naenjoy upande wa fuel inanipa 18 kwa lita 1 si unajua ina i mode kwa mjini hata km kuna foleni hakuna kuumiza kichwa

inachanganya faster wenye harrie nawakata kama wamesimama nimetoka nayo Arusha juzi ,niliweka mafuta 180,000 nimefika bado yamo robo tank ndio nakula misele ,mchawi kwa sasa kioo nimepata ila muhindi kanipandia sana anataka 320,000/- leo nimemuacha kesho alikomaa nitaenda kuweka mombasa nikiwa na safari ya huko maana kule ni 130,000 jumla na ufundi ,kama unafikiria kununua ,nunua kaka uishi katika ndoto yako
 
Wakuu habarini
Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5 , gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari nime atach hapo chini my contact 0765652806 natanguliza sana shukrani View attachment 2045000
Hamnaga bei yakizalendo kwenye gari ambazo hazifikia hata 10 kwa daslam nzima
 
.Mpk sasa nimeshabadili boll joint na tie road bas engine sijagusa kabisa zaidi ya kumwaga oil , ningari nzuri sana naenjoy upande wa fuel inanipa 18 kwa lita 1 si unajua ina i mode kwa mjini hata km kuna foleni hakuna kuumiza kichwa .....inachanganya faster wenye harrie nawakata kama wamesimama nimetoka nayo Arusha juzi ,niliweka mafuta 180,000 nimefika bado yamo robo tank ndio nakula misele ,mchawi kwa sasa kioo nimepata ila muhindi kanipandia sana anataka 320,000/- leo nimemuacha kesho alikomaa nitaenda kuweka mombasa nikiwa na safari ya huko maana kule ni 130,000 jumla na ufundi ,kama unafikiria kununua ,nunua kaka uishi katika ndoto yako

Shukrani kiongozi
 
Yaani kuna muhindi anavyo nimeviona kabisa ila kaona gari kaamua kunibadilikia anataka 320 k...daaa ila inanipa wadhifa hii gari wanabaki wananishangaa tu ....wanajua ninamkwanja wa kutosha kumbe naunga unga tu
Ha ha ha ha kagari kamenyooka hata bei zake sio mchezo beforward kule😅 kweli ulikaza kende!

Kama hukununua kwa balozi aliemaliza muda wake basi nikupe heko maana gari hizo kitonga ni za diplomats tu😅
 
Ha ha ha ha kagari kamenyooka hata bei zake sio mchezo beforward kule[emoji28] kweli ulikaza kende!

Kama hukununua kwa balozi aliemaliza muda wake basi nikupe heko maana gari hizo kitonga ni za diplomats tu[emoji28]
Nilikaagiza kutoka japani kalikuwa na 40,000 km mpk sasa kanamuonekano wa kibabe sana
 
Mkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
Spare ni ishu labda kama kaliua ndani ndani huko igagala lakini Dar zipo, ni wewe tu, chukua chuma hiyo
 
Haka kagari kama nimechanjiwa nako , kila siku lazima niangalie kwenye mitandao ya kuuza magari kuona kama kanashuka bei , ila nashauri tuma kenya spear zipo za kutosha wakenya wnakaita the car of the year
 
Back
Top Bottom