Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

Mi naitaka ya diesel, sky active Ile ni nyoko zaidi ya kumanina

Haka kandinga ni katamu asikwambie mtu Mazda alikaa chini akafikiria na akaja na haka kandinga but nadhani mwaka ujao katashuka kidogo hasa ka 2012 coz kuna nchi haziruhusu magari ya zaidi ya miaka kumi kuwa imported so sisi wanyonge tutaweza kuvununua maana bila CIF 6000 USD hujaiagiza na kikotozi cha TRA 11M
 
Jamaa wako vizuri sana,mi nawakubari sana
 
Usifananishe Hio Mazda na uchafu wa hio Nissan.
Ndugu tukikutana mjini nikakunyima lifti usinilaumu jua ni matusi yako ya rejareja ndio yamekuponza.

Sasa Nissan imekuwaje tena uchafu. Umeniumiza sana hisia zangu ndugu[emoji30][emoji30][emoji30][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all mazda is the best na haifanani kabisa na dualis kuanzia coftability ,stability ,accereletion walichokuja kunimaliza kabisa ni skyanative technolojia ....kina sensor za kutosha zinasaidia mfano GPS rador yake inaonyesha njia ukikaribia mita 20 km njia zipo 4 utaonyeshwa zote kila moja upande wake ....mi ninayo hiyo dizel accerelation ipo faster sana
 
Cx 5 ipo daraja moja na Subaru forester 2012, Vw Tiguan, Hydundai Tucson 2013, Rav 4 2012 sio dualisi , dualisi daraja lake ni IST na vtz
Kuwa serious kidogo...dualis dsraja moja na vitz na ist..?
Hebu weka data za waliotengeneza hayo magari tuone wenyeww wameyawwka katika madaraja gani
 
Kuwa serious kidogo...dualis dsraja moja na vitz na ist..?
Hebu weka data za waliotengeneza hayo magari tuone wenyeww wameyawwka katika madaraja gani
Hahaha me mwenyewe nimeweka ilo daraja na sipo serious ila kiukweli huwezi kukalinganisha na CX5 sio kwa performance au stability.
 
... hizi gari zinaingiliana spea kwa kiasi kikubwa na Ford-Japan (Escape, etc.). Actually, Ford-Japan is made by Mazda under license from US. Hii inaweza kusaidia kupata baadhi ya spea.
 
... hizi gari zinaingiliana spea kwa kiasi kikubwa na Ford-Japan (Escape, etc.). Actually, Ford-Japan is made by Mazda under license from US. Hii inaweza kusaidia kupata baadhi ya spea.
Ulichokisema ni sahihi kabisa kwa hilo sina ubishi hata kidogo
 
Hapa maji utaita mmma. Agiza hicho kioo EBAY au befoward kwenye spea kaka, vinginevyo utapaki hiyo gari. Unique cars zina mambo ya kisenge sana ikitokea unahitaji spea yake. Hizo gari mjini hapa ni chache mno
 
Nilipata kariakoo kwa mwarabu mmoja aonavyo a nauza laki 4
 
Nimesoma Review nyingi kuhusu Mazda Cx5 na moja ya matatizo ya hizi gari ni Kwamba kioo cha mbele ni rahisi sana ku Crack. Kwa uzi huu pamoja na CX5 nyingine mbili nimeziona zote zina Kioo cha brand ya XYG maana yake Wind Screen ilishabadilishwa. Na kuna CX5 moja nimeiona Juzi Maeneo ya Coco Beach nayo Kioo cha Mbele kina Crack upande wa Kushoto wote ila jamaa bado Hajakibadilisha.
 
Gari hii lazima upewe heshima kaka. Vimba tu, kioo utapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…