DIKASHWA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 378
- 964
Mi naitaka ya diesel, sky active Ile ni nyoko zaidi ya kumanina
Haka kandinga ni katamu asikwambie mtu Mazda alikaa chini akafikiria na akaja na haka kandinga but nadhani mwaka ujao katashuka kidogo hasa ka 2012 coz kuna nchi haziruhusu magari ya zaidi ya miaka kumi kuwa imported so sisi wanyonge tutaweza kuvununua maana bila CIF 6000 USD hujaiagiza na kikotozi cha TRA 11M