Natafuta kioo cha samsung a5(2017) used.

Natafuta kioo cha samsung a5(2017) used.

Almachus

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
56
Reaction score
12
Habari wana JF...natafuta kioo(Display) cha SAMSUNG A5 ya Mwaka 2017...Kama kuna mtu ana simu hiyo ambayo imekufa mashine aniuzie kioo. NASHKURU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF...natafuta kioo(Display) cha SAMSUNG A5 ya Mwaka 2017...Kama kuna mtu ana simu hiyo ambayo imekufa mashine aniuzie kioo. NASHKURU

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kushauri utafute kipya mzee baba nimerekebisha changu mwezi wa 3 sasa it works perfectly. nilinunua laki 1 na 30 Zanzibar
 
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
.[emoji383] TSH [emoji383].
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Back
Top Bottom