Natafuta kitabu cha C Language

Natafuta kitabu cha C Language

Attachments

  • Screenshot_20221207-151608.png
    Screenshot_20221207-151608.png
    98.4 KB · Views: 14
Tuelekeze jinsi gani unavipata mkuu
Ni pdf drive (na maktaba zingine mtandaoni) pamoja na magroup husika ya vitabu huko Telegram mkuu. Tatizo vijana wakiingia Telegram hawafanyi mambo ya maana mbali na kusaka mbususu 😁😁😁

Ni pdf drive (na maktaba zingine mtandaoni) pamoja na magroup husika ya vitabu huko Telegram

PDF drive huwezi kupata vitabu vyote for free , nilitaka kujua tu ni chanzo gani unatumia kupata vitabu , ila kuna vitabu mpaka utoe pesa ndio uvipate.
 
Ni pdf drive (na maktaba zingine mtandaoni) pamoja na magroup husika ya vitabu huko Telegram mkuu. Tatizo vijana wakiingia Telegram hawafanyi mambo ya maana mbali na kusaka mbususu 😁😁😁

nimekusoma hapo uliposema telegram
 
PDF drive huwezi kupata vitabu vyote for free , nilitaka kujua tu ni chanzo gani unatumia kupata vitabu , ila kuna vitabu mpaka utoe pesa ndio uvipate.
Sina jibu jingine mbali na nililotoa hapo juu mkuu 🙏🏿
 
Back
Top Bottom