Isimilo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 217 Reaction score 7 Oct 5, 2011 #1 JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa. Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa. Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Oct 5, 2011 #2 Mkuu,masuala ya kurudia paper hayana ishu,bora uende college 2 hata ka utaanza na level ya chini!
Isimilo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 217 Reaction score 7 Oct 5, 2011 Thread starter #3 Mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila hiyo ya kidato cha sita ni plan B. Nataka kufanya vyote viwili. tayari mchakato wa college umekamilika
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila hiyo ya kidato cha sita ni plan B. Nataka kufanya vyote viwili. tayari mchakato wa college umekamilika