Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku Dar es Salaam

Tom lee Ab

Member
Joined
Jan 11, 2020
Posts
41
Reaction score
17
Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
 
Nenda kwenye maduka wanakouza chakula Cha kuku hasa leyers au broiler kwenye mifuko utakuta number zao za simu
 
Hill feeds, wapo kerege njia ya bagamoyo .
Amadori (not certain kama bado wapo operational)
 
Kuna wachina wanaitwa “ Backbone “ wako vizuri hata kuku ukiwapa chakula chao wanakua wazito na afya sana. Wacheck
 
Back
Top Bottom