Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-.
Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja husika pia, natamani kama kuna uwezekano wa kuchimba maji pia, lengo ni kuwa na uhakika wa maji kipindi chote.
Asante kwa ushirikiano.