Natafuta kiwanja au shamba Dar au Pwani bei mil 1 shuka chini

Natafuta kiwanja au shamba Dar au Pwani bei mil 1 shuka chini

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
kama heading inavyojieleza. natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho.
 
kama heading inavyojieleza. Natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. Hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho.

mkuu hiyo milioni ni shilingi hizi hizi za madafu au za nje? Sidhani kama utapata shamba ama kiwanja hata sehemu maji yanayotuama, acha utani wewe subiri madalali waje kukuvurumishia masikitiko kuwa umedharau kazi yao.
 
wahi shamba linauzwa segerea keko na Ukonga.Kwa maelezo zaidi fika kisutu ulizia Hakimu Fimbo au Mgeta.
 
Back
Top Bottom