T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 588 Jul 11, 2014 #1 kama heading inavyojieleza. natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho.
kama heading inavyojieleza. natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho.
N NATTA WITO JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 228 Reaction score 97 Jul 11, 2014 #2 tpmazembe said: kama heading inavyojieleza. Natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. Hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho. Click to expand... mkuu hiyo milioni ni shilingi hizi hizi za madafu au za nje? Sidhani kama utapata shamba ama kiwanja hata sehemu maji yanayotuama, acha utani wewe subiri madalali waje kukuvurumishia masikitiko kuwa umedharau kazi yao.
tpmazembe said: kama heading inavyojieleza. Natarajia kusafiri mikoani jpili jioni. Hivyo kama kuna mdau anafanya biashara ajitokeze tumalizane kesho. Click to expand... mkuu hiyo milioni ni shilingi hizi hizi za madafu au za nje? Sidhani kama utapata shamba ama kiwanja hata sehemu maji yanayotuama, acha utani wewe subiri madalali waje kukuvurumishia masikitiko kuwa umedharau kazi yao.
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,698 Reaction score 4,642 Jul 11, 2014 #3 wahi shamba linauzwa segerea keko na Ukonga.Kwa maelezo zaidi fika kisutu ulizia Hakimu Fimbo au Mgeta.
wahi shamba linauzwa segerea keko na Ukonga.Kwa maelezo zaidi fika kisutu ulizia Hakimu Fimbo au Mgeta.
papaa2015 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 411 Reaction score 101 Jul 11, 2014 #4 lipo shamba la 2.6