Subutu wanaanzaje kuniingiza mjinMtu anabebeshwa Jeneza sasa hivi...haya wazee wa mjini kazi hiyoooo!
We niunganishe naye tuNjoo kimbiji kijaka nikupe kiwanja square metres 1104 kitalu namba 358 chenye title deed kwa Tsh 5.5M tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niunganishe tuBajeti yako sh ngapi nikuunganishe na mtu wa viwanja vya manispaa kigambon. Nimenunua kwake kiwanja kilichopimwa mwezi juzi? Unaweza ukanipm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu nitumie PM namba ya mtu wa viwanja wa manispaa mimi ninahitaji Kibada.Bajeti yako sh ngapi nikuunganishe na mtu wa viwanja vya manispaa kigambon. Nimenunua kwake kiwanja kilichopimwa mwezi juzi? Unaweza ukanipm
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenunua bei gan kwa size gan mkuu?Bajeti yako sh ngapi nikuunganishe na mtu wa viwanja vya manispaa kigambon. Nimenunua kwake kiwanja kilichopimwa mwezi juzi? Unaweza ukanipm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo 20.5 kwa 20.5 kina Hati, kipo eneo zuri la uzunguni, tambarare Kigamboni Buyuni. Milioni 6 kwa kimoja ninavyo viwili.