Natafuta kiwanja cha bei nafuu 30 kwa 30. Kigamboni kiwe kina hati

Mtu anabebeshwa Jeneza sasa hivi...haya wazee wa mjini kazi hiyoooo!
 
Bajeti yako sh ngapi nikuunganishe na mtu wa viwanja vya manispaa kigambon. Nimenunua kwake kiwanja kilichopimwa mwezi juzi? Unaweza ukanipm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo kimbiji kijaka nikupe kiwanja square metres 1104 kitalu namba 358 chenye title deed kwa Tsh 5.5M tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja bado kipo kina hati mkononi na maeneo yamejengeka sana na ramani ya eneo husika ipo.
 
njoo mkamba mwasonga kiwanja kolochpimwa sqm 600 kwa 5m tu
 
Kuna sqm 1,200 toangoma kwa mh.Pinda ,Bei 8 ml .simu: 0713-039875
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…