Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Kigamboni kiongozi, ni kilometres chache kufika city center.Wakuu habari za majukumu,
Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Njoo Kijichi huku ninacho million 14Wakuu habari za majukumu,
Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Kwachale siyo jiran na manispaa labda useme jiran na kimbiji au kidagaaNjoo Kigamboni jirani na manispaa ya Kigamboni block 16 ni surveyed plot, ninavyo viwanja 14M. Njoo inbox kwa maelezo zaidi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kutokana na muuliza swali wapi anaweza pata kiwanja kizuri dar es salaam! Ndo maana nimejibu huko kwa chale sababu kuna viwanja vizuriKwachale siyo jiran na manispaa labda useme jiran na kimbiji au kidagaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigamboni kiongozi, ni kilometres chache kufika city center.
Usiingie mkenge wa kununuwa Chanika, kwenda Nyumbani kwako unadhani ni safari unasafiri mkoani.
Kama shughuli zake zipo Mbagala ataakaje huko goba?Chukua goba
Goba pazuri kama shughuli zako unafanyia Ubungo,posts au KKOChukua goba
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣kwenda Nyumbani kwako unadhani ni safari unasafiri mkoani.
Pemba Mnazi ni Kigamboni pia, 60km toka City CenterKigamboni kiongozi,
Hakuna folen lakini uko,unajimwaga tu,chanika foleni gongolamboto mpaka tazara n.kPemba Mnazi ni Kigamboni pia, 60km toka City Center
Bora Chanika
Watu wanakaa kibaha shughuli mbagala,itakua Apo goba?Kama shughuli zake zipo Mbagala ataakaje huko goba?
daladala chanika to mjini ni dk 40 tu, kwa 32kmHakuna folen lakini uko,unajimwaga tu,chanika foleni gongolamboto mpaka tazara n.k
Habari Mkuu.Nicheki kupitia 0784 505171 tufanye biasharaWakuu habari za majukumu,
Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?