Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Yelawolf49

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
73
Reaction score
65
Wakuu habari za majukumu,

Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
 
Wakuu habari za majukumu,

Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Kigamboni kiongozi, ni kilometres chache kufika city center.

Usiingie mkenge wa kununuwa Chanika, kwenda Nyumbani kwako unadhani ni safari unasafiri mkoani.
 
Njoo Kigamboni kwa chale ni karibu na feri pia ni Karibu na bahari unapata kiwanja cha sqm724 kwa 14,480,000 na pia hati tunakutaftia bure kabisa!
 
Angalia eneo jirani na unapofanyia shughuli zako,watu hawatafuti viwanja for the sake of viwanja bali wanaangalia na mazingira yako.
 
Wakuu habari za majukumu,

Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Habari Mkuu.Nicheki kupitia 0784 505171 tufanye biashara
 
Hiyo bajeti yako ukiitumia vizur unaweza nunua viwanja vitatu vikubwa sehemu mbali mbali hapa DSM na ikabaki hela ya kufuatilia hati miliki kutoka wizarani

Note:
1)Hakikisha viwanja unavyonunua ni surveyed plots
2) usinunue kiwanja chini ya 800sq
3) Nunua kwa makampuni ya real estate na Hakikisha wao ndo watafuatilia hati miliki ya wizara itakua rahisi kwako
4) Siku ingine ukiwa unataka kiwanja usitangulize offer yako coz ni rahisi sana kuuziwa eneo lisilo endana na thamani ya pesa utakayoitoa, Jenga utamaduni wa kufanya research kabla hujafanya maamuzi
 
Back
Top Bottom