Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Acha kumdanganya mwenzio, 14m ndio ununue viwanja vitatu vya square meter 800???? Lamda sio Dar. Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa kwa square meter. Hiyo pesa ni ndogo sana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji kiwanja GOBA mwenye kiwanja cha ukubwa 800sqm-1000sqm anicheki tufanye biashara

Ahsante
 
NAHITAJI KIWANJA KARIBU NA MUHIMBILI
KAMA YUPO ANACHO kianzie ukubwa wa 30*20 na kuendelea
 
JIPATIE VIWANJA VILIVYOPIMWA CHANIKA KWA MBIKI
Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 (20x20)

Bei yake cash ni 4,500,000/=.
Bei ya mkopo ni 5,000,000/=

Mkopo mtaja ataanza na 20% kias kinachobaki kitalipwa ndani ya miez 5 tu sawa na Tsh 1,000,000/=

JE UNGEPENDA KUTEMBELEA MRADI HUU BASI TUWASILIANE KWA WHATSAPP 👉
https//wa.me/+255764227346
 
Wakuu habari za majukumu,

Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Njoo kigamboni somangila Mbutu kichangani kiwanja na nyumba yake 20*21 about 800sqm 11M umeme Maji uhakika 0759448927
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…