Roosevelt22
Member
- Sep 28, 2022
- 11
- 11
Acha kumdanganya mwenzio, 14m ndio ununue viwanja vitatu vya square meter 800???? Lamda sio Dar. Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa kwa square meter. Hiyo pesa ni ndogo sana.Hiyo bajeti yako ukiitumia vizur unaweza nunua viwanja vitatu vikubwa sehemu mbali mbali hapa DSM na ikabaki hela ya kufuatilia hati miliki kutoka wizarani
Note:
1)Hakikisha viwanja unavyonunua ni surveyed plots
2) usinunue kiwanja chini ya 800sq
3) Nunua kwa makampuni ya real estate na Hakikisha wao ndo watafuatilia hati miliki ya wizara itakua rahisi kwako
4) Siku ingine ukiwa unataka kiwanja usitangulize offer yako coz ni rahisi sana kuuziwa eneo lisilo endana na thamani ya pesa utakayoitoa, Jenga utamaduni wa kufanya research kabla hujafanya maamuzi
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app