Natafuta kiwanja Dar

Natafuta kiwanja Dar

Vipo kibao tu..whynote,tnt,kumalija,samaki samaki,kitambaa cheupe n.k humo kuna pisi za kwenda,shisha,vibango na show za wasanii mbali kila weekend. Mil 4 kwa weekend 2 inatosha sana
 
Kama mtu yuko serious huwezi kumjibu alichouliza. Hata kama sio yeye utamsaidia mwingine. Tukipunguza mizaha tutapiga hatua fulani. Ni maoni yangu tu.
 
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Mpiji kibaha, vipo barabaran kama utapahitaji njoo inbox tuwasiliane
 
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Baadhi ya maeneo ya msumi...mbopo....mpigi magohe unaweza bahatisha
 
Back
Top Bottom