Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

Kama kuna mtu anajua mwenye eneo kuwa anagawa vipisi nadhani ndio itakuwa bei nzuri
 
Ukifika mlandizi kuna barabara ya kwenda maneromango siyo mwendo mrefu kutoka mlandizi. NB: mzenga ipo km 29 kutoka kibaha. Sehemu haina umeme wala maji.
Mkuu nina eneo hapo mzenga pia hicho kiwanja chako kipo sehemu gani exactly na unauza kama shamba au kiwanja?!
 
vp ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!
Huyo jamaa hapo juu Arturo Mateo kaniambia anavyo sh 1m mita 20 kwa mita 20 Msangani Kibaha sasa bado sijaenda kuangalia. M pm akupe namba yake
 
Back
Top Bottom