Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mzenga iko upande upi wa Kibaha mkuu?Njoo huku mzenga nakupa 70m x35m kwa 1m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzenga iko upande upi wa Kibaha mkuu?Njoo huku mzenga nakupa 70m x35m kwa 1m
Kibaha kwa Mfipavp ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!
Dalali umeongeza ngapi hapo ya kwako ?Kibaha kwa Mfipa
Plot number 57 hiyo
Kiwanja kimepimwa na kina Hati
Sqm 600
Umbali km 2 toka moro road
Bei million 6
Nina 20×40 million 7(km 2)
Nina 35×20 kina hati million 8(km 1)
Nina vya 20×20 million 2.5
0744757738
Kupelekwa site ni 10k
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mimi ni asilimia tu ndo inanihusu hapo. Sikuhizi ukijidai unaongeza hela juu,hauwezi kuuza kitu kwa wakati. Biashara sahv zipo wazi tu. 0744757738Dalali umeongeza ngapi hapo ya kwako ?