Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

Jamani nimepata kiwanja vikawe kibaha. Mtu qsikukatishe tamaa. Unaweza pata na shughuli zako zikaenda. Na nimehusisha mwanasheria na ofisi ardhi hadi wizarani. Kipo salama. Tusipende kukatishana tamaa. Watu wenye tabia ya kukatishana tamaa huwa ni maskini kwani huwa inaanziaga hadi tokea ndani mwao kujikatisha tamaa wenyewe. Kitokacho mdomoni mwa mtu kimeanzia ndani
 
vp ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!
Kibaha kwa Mfipa
Plot number 57 hiyo
Kiwanja kimepimwa na kina Hati
Sqm 600
Umbali km 2 toka moro road
Bei million 6
Nina 20×40 million 7(km 2)
Nina 35×20 kina hati million 8(km 1)
Nina vya 20×20 million 2.5
0744757738
Kupelekwa site ni 10k

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kibaha kwa Mfipa
Plot number 57 hiyo
Kiwanja kimepimwa na kina Hati
Sqm 600
Umbali km 2 toka moro road
Bei million 6
Nina 20×40 million 7(km 2)
Nina 35×20 kina hati million 8(km 1)
Nina vya 20×20 million 2.5
0744757738
Kupelekwa site ni 10k

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Dalali umeongeza ngapi hapo ya kwako ?
 
Back
Top Bottom