Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri .Kiukweli kabisa toka moyoni, ukipata hicho kiwanja chenye hati kwa maeneo hayo uliyoyataja chimba sana kwenye uchunguzi wako kuna kitu utagundua kuwa hakipo sawa.
Kila la kheri.
Habari Zenu.
Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10.
sharti kiwe na hati ya wizara.
Mwenye nacho anichek pm
Uko sahii kabisa,kuna jamaa ana cha sqm 420 anataka 15m maeneo ya block 17 ila kimepimwa lakini hakina hatiGeza kiwanja kilichopimwa huwezi kupata kwa 10ml
Andaa angalau 16-18ml hapo utapata cha size ya 400sqm-500sqm na ni maeneo ambayo bado hayajachangamka, kama mtaa umengechamka na kwa ukubwa huo andaa mpaka 20ml
Tsh. 35714 per square meterUko sahii kabisa,kuna jamaa ana cha sqm 420 anataka 15m maeneo ya block 17 ila kimepimwa lakini hakina hati
Ndio bei zake au tunaligwaTsh. 35714 per square meter
Hatari hatari
Noma sana!Tsh. 35714 per square meter
Hatari hatari