Natafuta kiwanja Kigamboni

Natafuta kiwanja Kigamboni

mooslam

Member
Joined
Dec 30, 2022
Posts
10
Reaction score
9
Habari Zenu.
Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10.
sharti kiwe na hati ya wizara.
Mwenye nacho anichek pm
 
Kiukweli kabisa toka moyoni, ukipata hicho kiwanja chenye hati kwa maeneo hayo uliyoyataja chimba sana kwenye uchunguzi wako kuna kitu utagundua kuwa hakipo sawa.
Kila la kheri.
Asante kwa ushauri .
 
Habari Zenu.
Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10.
sharti kiwe na hati ya wizara.
Mwenye nacho anichek pm

Geza kiwanja kilichopimwa huwezi kupata kwa 10ml
Andaa angalau 16-18ml hapo utapata cha size ya 400sqm-500sqm na ni maeneo ambayo bado hayajachangamka, kama mtaa umengechamka na kwa ukubwa huo andaa mpaka 20ml
 
Uko sahii kabisa,kuna jamaa ana cha sqm 420 anataka 15m maeneo ya block 17 ila kimepimwa lakini hakina hati
 
Back
Top Bottom