Natafuta kiwanja Mwanza

Natafuta kiwanja Mwanza

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Habari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.

Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
 
Kwahiyo bei neenda kisesa au nyamongoro, pembeni ya jiji kabisa
 
Habari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.

Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
Mkuu, ungeweka mawasiliano ili wenye navyo waweze kukutafuta.
 
Habari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.

Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
Buhongwa viwanja kibao
 
Madalali wa Mwanza wamelala sana. Hapo ingekuwa Dar madalali wangeshajaza uzi huu.
 
Back
Top Bottom