Natafuta kiwanja Tanga

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc.

Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie.

Asanteni.
 
Leta no yako nikuunganishe mwahako vipo viwanja
 
Mimi nataka kiwanja lushoto hata sijui naanzia wapi?!
 
Kipo lkn kichangani je upo tayari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…