Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

maelezo yako hajitosherezi, kwanza mbeya ni kubwa. unamaanisha mbeya mjini ? au sehemu yoyote ya mkoa wa mbeya? alafu inawezekanaje kiwanja hambacho hakijajengwa kikawa na parking area?
 
weka yako yanayo jitosheleza yangu kwa mwenye ubongo yeyote nadhani kanielewa.
 
Back
Top Bottom