dadamkubwa
Senior Member
- Sep 3, 2013
- 115
- 20
Habari wanajamii?
Mimi ni muajiriwa kwenye kampuni fulani mkoani morogoro, naomba msaada kwa yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kupata utaalamu wa advanced excel.
Sio muhimu sana kupata cheti, na kozi isiwe ya muda mrefu pia.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app