Hiyo project management particularly sidhani kamaa utaipata labda u-breakdown into courses ambazo ni muhimu sana kwako uone kwenye hizi masters zilizopo ni ipi ina hizo courses e.g project formulation, project monitoring & evaluation, project investment analysis, team management e.t.c, baaddhi ya hizo unaweza kuzipata UDSM, OUT.