Natafuta kozi ya masters in project management, evening class

Natafuta kozi ya masters in project management, evening class

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Kwa anaye fahamu chuo kinachotoa Masters in Project Management hapa Dar... Na hasa iwe ni evening progromme. Asanteni kwa Msaada wenu wadau. Tuwasilisne hapahapa!!
 
Hiyo project management particularly sidhani kamaa utaipata labda u-breakdown into courses ambazo ni muhimu sana kwako uone kwenye hizi masters zilizopo ni ipi ina hizo courses e.g project formulation, project monitoring & evaluation, project investment analysis, team management e.t.c, baaddhi ya hizo unaweza kuzipata UDSM, OUT.
 
Back
Top Bottom